Kwenye mechi 13 kati ya 16 ambazo Istanbul wamecheza katika ligi ya Uturuki msimu huu, kumekuwa na mabao chini ya 3, weka under 2.5 pia katika mechi 8 za Antalyaspor za hivi majuzi kwenye ligi, kumekuwa na mabao chini ya 3.
Istanbul wamefunga zaidi ya mabao 2 katika mikutano 6 kati ya 7 za majuzi amabazo timu hizi zimekutana. Pia wameshinda mechi zote 4 za ligi hivi majuzi huku Antalyaspor wakishindwa kuzoa alama tatu katika mechi zao 6 za hivi majuzi kwenye ligi.