TPL: Azam vs Simba, Ubashiri

0

Azam FC wanashikilia nafasi ya 2 katika msimamo wa ligi kuu Tanzania bara kwa alama 50 baada ya kushiriki mechi 24, mechi 7 zaidi ya Simba SC inayoshikilia nafasi ya 3 kwa alama 42 baada ya kushiriki mechi 17.

Timu hizi zinakutana wakati Azam imeshinda mechi moja tu kati ya mechi 5 amabazo imecheza hivi majuzi huku Simba nao wameshinda mechi zote tano za ligi ambazo wamecheza hivi majuzi.

Matokeo za Simba hivi majuzi ni kama ifuatayo:

  • African Lyon 0-3 Simba
  • Yanga 0-1 Simba
  • Simba 3-0 Mwadui
  • Simba 3-0 Singida United
  • Simba 2-1 KMC

Matokeo za Azam hivi majuzi ni kama ifuatayo:

  • Coastal Union 1-1 Azam
  • Tanzania Prisons 1-0 Azam
  • Lipuli 1-1 Azam
  • Azam 1-1 Alliance
  • Azam 2-1 Biashara United

Kulingana na orodha hizi, Simba watashinda au mechi iishe sare. Simba imefungwa bao 5 pekee kwenye ligi msimu huu.

Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More