Ural vs Ufa uchambuzi na ubashiri

0

Kwenye ligi ya Urusi, klabu ya Ural watakabiliana na FC Ufa leo. Kila timu imefanya mikakati kuwasajili wachezaji.

Katika mechi 13 ambazo Ufa wamecheza ugenini, kumekuwa na mabao chini ya 3 lakini ikumbukwe kuwa Ufa hawajapata ushindi katika mechi 18 za ligi ugenini walizocheza majuzi.

Ural wameshuhudia mabao chini ya 3 katika mechi 6 za nyumbani kwenye ligi walizocheza majuzi, pia wameshindwa kufnga bao katika mechi tatu za majuzi.

Ufa hawajawi shindwa na Ural katika mechi 6 walizocheza majuzi kwenye mashindano yote na pia, Ural wamefunga bao 2 au zaidi katika mechi zao 3 za majuzi.

Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More