Ratiba ya Ligi Kuu nchini Wingereza Wikendi ya kwanza, 2019/20

0

Masaa zote ni za Afrika Mashariki

Liverpool waliomaliza katika nafasi ya pili msimu uliyopita watafungua msimu huu siku ya ijumaa dhidi ya Norwich siku ya ijumaa saa nne usiku.

Jumamosi, tarehe 10 Agosti mwaka huu

  • West Ham United dhidi ya Manchester City saa nane na nusu mchana
  • Bournemouth dhidi ya Sheffield United iliyopandishwa daraja msimu huu, saa kumi na moja jioni
  • Burnley dhidi ya Southampton saa kumi na moja jioni
  • Crystal Palace dhidi ya Everton saa kumi na moja jioni
  • Watford dhidi ya Brighton, saa kumi na moja jioni
  • Tottenham dhidi ya wageni Aston Villa saa kumi na moja jioni

Jumapili Agosti 11

  • Leicester dhidi ya Wolves saa kumi alasiri
  • Newcastle dhidi ya Arsenal saa kumi alasiri
  • Manchester United dhidi ya Chelsea saa kumi na mbili unusu jioni
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More