Liverpool vs Norwich Uchambuzi na Ubashiri

0

Liverpool watafngua msimu wa ligi kuu nchini Wingereza kwa kuwaalika Norwich City ugani Anfield siku ya ijumaa tarehe 9 mwezi huu. Norwich walipandishwa daraja kutoka ligi ya Championship waliyoishiriki msimu jana.

Liverpool hawajashindwa katika mechi 38 za mwisho walizo cheza nyumbani kwenye ligi ya Wingereza. Kwa hivyo ipe Liverpool ushindi, pia wamefunga mabao 2 au zaidi kwenye mechi zao 9 za mwisho walizocheza kwenye mashindano zote, kwa hivyo weka over 1.5 na over 2.5.

Kwenye mechi 7 za mwisho ambazo Liverpool wameshindana na Norwich, Liverpool wamefunga mabao 3 au zaidi dhidi yao kwenye mechi 6 kati ya hizo 7, kwa hivyo weka Over 3.5.

Liverpool hawajafungwa bao lolote katika mechi 5 kati ya 7 za mwisho walizocheza kwenye ligi ya premier. Ipe Liverpool ushindi.

Kumbuka:Hii ni ubashiri tu, tafadhali fanya utafiti yako pia.

Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More