West Ham vs Manchester City, Uchambuzi na Ubashiri

0

Manuel Pellegrini ataialika timu yake ya zamani, Manchester City amabao pia, ndio mabingwa watetezi wa ligi ya Wingereza, leo saa nane unusu saa za Afrika Mashariki.

Man City wameshinda mechi zao zote 14 za mwisho walizocheza kwenye ligi. Pia, wameshinda West Ham kwenye mechi 9 zote za mwisho walizocheza katika mashindano zote. Man city watashida

Kumekwa na mabao 3 au zaidi katika mechi 9 za mwisho ambazo West Ham na Man city wamechuana. Man City wamefunga mabao 3 au zaidi katika mechi 5 za mwisho ambazo wamecheza ugenini kwa West Ham. Weka over1.5, 2.5 na over 3.5

West Ham wamefunga mabao 2 a zaidi katika mechi 5 kati ya 6 za mwisho walizocheza nyumbani. Weka goal-goal

Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More