Manchester United vs Crystal Palace

0

Man United wanawaalika Palace ugani Old Trafford wikendi hii ambako Wan-Bissaka anatarajiwa kucheza dhidi ya timu yake ya zamani. United hawajapoteza mechi yoyote msimu huu ila wametoka sare mechi moja dhidi ya 1-1 dhidi ya Wolves.

Alexis Sanchez anatarajiwa kuchezea United mechi hii licha ya klabu ya Inter ya Serie A, Italia kuonyesha nia ya kumsajili kabla dirisha ya uhamisho kufungwa.

Manchester hawajawahi fungwa bao na Palace ugani Old Trafford katika mechi 6 za mwisho walizokutana kwenye mashindano yote. Pia, hawajawahishindwa na Palace katika mechi 17 za mwisho walizokabiliana kwenye mashindano yote.

Kumekuwa na mabao chini ya 3 katika mikutano 5 kati ya 6 za mwisho walizocheza Old Trafford.

Ipe Manchester United ushindi.

Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More