Norwich vs Chelsea, Uchambzi na Ubashiri

0


Chelsea watakuwa wanatafuta ushindi wa kwanza msimu huu baada ya kushindwa 4-0 na Man United na kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Leicester City katika mechi zao 2 za kwanza msimu huu. Norwich vilevile walianza msimu kwa kshindwa 4-1 na Liverpool lakini walipata ushindi ya 3-1 dhidi ya Newcastle wiki jana.

Frank Lampard anatarijiwa kumtumia Willian ambaye alikosa mechi za ufunguzi na vile vile Antonio Rudiger ambaye amepona majeraha.

Chelsea hawajawahishindwa na Norwich katika mechi 15 za mwisho wao kukutana katika mashindano yote. The blues wameshinda Norwich na tofauti ya bao moja tu katika mikutano yao mbili za mwisho.

Katika mikutano 5 za mwisho, 3 kati yao Norwich hawakupata bao dhidi ya Chelsea.

Ipe Chelsea ushindi.Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More