Kiasi cha pesa vilabu vinapata kupitia dili za jezi

0

Liverpool wanatarajiwa kutia saini mkataba na kampuni ya Nike ili kutengeneza jezi zao za msimu ujao. Mkataba huo unakisiwa kuwa cha dola milioni 135 kila msimu.

Mkataba wa New Balance (NB) ambayo inahusika na utengenezaji wa jezi za Liverpool kwa miaka 5 sasa unakamilika mwishoni wa msimu huu na Nike inaonekana ikiwa kipao mbele kuchukua usukani. Hivi ndivyo vilabu uzipendazo zinapata fedha kutokana na dili za jezi

  • Barcelona: Nike, $181m
  • Real Madrid: Adidas, $178m
  • Manchester United: Adidas, $135m
  • Manchester City: Puma, $117m
  • Arsenal: Adidas, $109m
  • Chelsea: Nike, $109m
  • Juventus: Adidas, $83m
  • Liverpool: New Balance, $81m
  • Bayern Munich: Adidas, $76m
  • Tottenham: Nike, $54m
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More