Ratiba ya Premier League Wikendi ya 3

0

Liverpool na Arsenal wanaoshikilia nafasi ya kwanza na pili mtawalia, wanatarajiwa kumenyana siku ya jumamosi tarehe 24 Agosti mwaka huu huku kila timu imeshinda mechi zake 2 za kwanza na alama 6 kwenye ligi. Hii ndiyo mechi kubwa wikendi hii ila kuna baadhi ya mechi zingine ambazo unaweza kuvitizama pia. Hii ndiyo ratiba ya kandanda Wingereza saa za Afrika Mashariki.

Leo Ijumaa tarehe 23 Agosti 2019

Aston Villa vs Everton saa 4 usiku

Juma Mosi tarehe 24 Agosti 2019

  • Norwich vs Chelsea –saa nane na nusu mchana
  • Brighton vs Southampton- saa kumi na moja jioni
  • Manchester United vs Crystal Palace- saa kumi na moja jioni
  • Sheffield United vs Leicester- saa kumi na moja jioni
  • Watford vs West Ham- saa kumi na moja jioni
  • Liverpool vs Arsenal – saa moja na nusu jioni

Jumapili tarehe 24 Agosti 2019

  • Bournemouth vs Manchester City – saa kumi alasiri
  • Tottenham vs Newcastle- saa kumi na mbili jioni
  • Wolves vs Burnley- saa kumi na mbili jioni
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More