Ratiba ya Premier League Wikendi Hii

0

Liverpool na Manchester City wanaongoza jedwali la ligi kwa kushikilia nafasi ya kwanaza na pili mtawalia huku Pukki wa Norwich na Sterling wa Manchester City wakiongoza upande wa wafungaji bora kwa sasa. Hii ndio ratiba ya wikendi ya nne premier league

Jumamosi 31 Agosti 2019

  • Southampton vs Manchester united- saa nane unusu mchana
  • Chelsea vs Sheffield United- saa kumi na moja jioni
  • Crystal Palace vs Aston Villa- saa kumi na moja jioni
  • Leicester vs Bournemouth – saa kumi na moja jioni
  • Manchester City vs Brighton- saa kumi na moja jioni
  • Newcastle vs Watford- saa kumi na moja jioni
  • West Ham vs Norwich- saa kumi na moja jioni
  • Burnley vs Liverpool- Saa moja na nusu jioni

Jumapili 1 Septemba 2019

  • Everton vs Wolves- saa kumi alasiri
  • Arsenal vs Tottenham- saa kumi na mbili unusu jioni

Masaa haya ni za Afrika Mashariki

Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More