Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania bara Octoba 19 na 20

0

Jumla ya mechi 7 zimeratibiwa kuchezwa wikendi hii katika ligi kuu Tanzania bara. Kuna baadhi ya timu zitakuwa zinacheza mechi za 6,5 na hata nne msimu huu.

Viongozi wa ligi Simba SC pamoja na Azam inayoshikilia nafasi ya pili hawatacheza kewenye ligi katika ratiba hizi, hivyo basi, iwapo Kagera Sugar watapata ushindi dhidi ya Tanzania Prisons, watasonga hadi nafasi ya pili.

Hii ndio ratiba kamili ( saa za Afrika Mashariki)

Jumamosi 19 Oktoba 2019

Timu ya Nyumbani Saa ya Mchezo Timu ya Ugenini
Coastal Union Kumi Alasiri Mwadui
Polisi Tanzania Kumi Alasiri Singida United
Tanzania Prisons Kumi Alasiri Kagera United
Mbao Kumi Alasiri Ruvu Shooting
Namungo Kumi Alasiri Lipuli
Ndanda Kumi Alasiri Mtibwa Sugar

Jumapili 20 Oktoba 2019

Mbeya Kumi Alasiri Biashara United
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More