Ratiba ya ligi kuu Wingerezea wikendi hii (Matchday 9)

0

Mechi kuu itakuwa kati ya Manchester United wakiwaalika viongozi wa ligi Liverpool gani Old Trafford. The Reds wameshinda mechi zote 8 msimu huu huku United wakishikilia nafasi ya 12 kwa alama 9 baada ya mechi nane.

Jumamosi 19 Oktoba (Saa za Afrika Mashariki)

Timu ya Nyumbani Saa ya Mchezo Timu ya Ugenini
Everton Nane na nusu mchana West Ham
Aston Villa Kumi na moja jioni Brighton
Bournemouth Kumi na moja jioni Norwich
Chelsea Kumi na moja jioni Newcastle
Leicester Kumi na moja jioni Burnley
Tottenham Kumi na moja jioni Watford
Wolves Kumi na moja jioni Southampton
Crystal Palace Moja na nusu usiku Manchester City

Jumapili 20 Oktoba 2019

Manchester United Kumi na mbili jioni Liverpool

Jumatatu 21 Oktoba 2019

Sheffield United Nne usiku Arsenal
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More