Ratiba ya Premier League Wikendi ya 3

Liverpool na Arsenal wanaoshikilia nafasi ya kwanza na pili mtawalia, wanatarajiwa kumenyana siku ya jumamosi tarehe 24 Agosti mwaka huu huku kila timu imeshinda mechi zake 2 za kwanza na alama 6 kwenye ligi. Hii ndiyo mechi kubwa wikendi

Manchester United vs Crystal Palace

Man United wanawaalika Palace ugani Old Trafford wikendi hii ambako Wan-Bissaka anatarajiwa kucheza dhidi ya timu yake ya zamani. United hawajapoteza mechi yoyote msimu huu ila wametoka sare mechi moja dhidi ya 1-1 dhidi ya Wolves.

Norwich vs Chelsea, Uchambzi na Ubashiri

Chelsea watakuwa wanatafuta ushindi wa kwanza msimu huu baada ya kushindwa 4-0 na Man United na kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Leicester City katika mechi zao 2 za kwanza msimu huu. Norwich vilevile walianza msimu kwa kshindwa 4-1 na

Liverpool vs Arsenal, Uchambuzi na Ubashiri

Liverpool na Arsenal watakabiliana siku ya Jumamosi tarehe 24 Agosti mwaka huu ugani Anfield. The reds na the gooners wanaongoza jedwali la premier league, wakishikilia nafasi ya kwanza na pili mtawalia, wote wakiwa na alama 6 baada ya

Ural vs Ufa uchambuzi na ubashiri

Kwenye ligi ya Urusi, klabu ya Ural watakabiliana na FC Ufa leo. Kila timu imefanya mikakati kuwasajili wachezaji. Katika mechi 13 ambazo Ufa wamecheza ugenini, kumekuwa na mabao chini ya 3 lakini ikumbukwe kuwa Ufa hawajapata ushindi