Browsing Category

NEWS

Matokeo ya UEFA Champions league 10-04-2019

Kulikuwa na mechi za kukata na shoka, huku Manchester wakiwaalika miamba wa Uhispania FC Barcelona, Ajax Amsterdam ya Uholanzi waliwalika Juventus. Bao la kujifunga mwenyewe kwa Luke Shaw iliipa Barca ushindi ingawaje awali ilionekana

Matokeo ya UEFA Champions League 9-04-2019

Kulikuwa na mechi za kukata na shoka katika harakati ya kutafuta nafasi ya nusu fainali awamu ya kwanza. Liverpool waliwaalika FC Porto ya Ureno huku Tottenham wakiwaalika Manchester City kwenye uwanja wao mpya. Mabao mwaili katika

Mataifa yaliyofuzu AFCON

Baada ya mechi za mwizsho za makundi kufuzu AFCON 2019, haya ndiyo mataifa yaliyofuzu kinyang'anyiro hicho kitakacho chezwa nchini misiri kuanzia Juni mwaka huu. Kundi A: Senegal na Madagascar Kundi B: Morocco na Cameroon Kundi C:

Tanzania wajiunga na Kenya na Uganda

Taifa Stars ya Tanzania bara ilifuzu kwa kombe la bara Africa utakao chezwa nchini Misiri mwaka huu kwa mara ya kwanza baada ya miaka 39. Hii ni baada ya kuwashinda Uganda mabao 3-0 jijini Dar Es Salaam huku Lesotho wakishindwa kuwapiku