Kocha wa PSG Tuchel amsifia Kylian Mbappe

Nyota huyo alifunga bao la kipekee dhidi ya Saint Etienne kunako dakika ya 73 na kuisaidia klabu yake kuongeza mwanya ya alama 12 kati yao na Lile inayoshikilia nafasi ya pili kwa alama 50. PSG imepoteza mechi moja pekee msimu huu

Klabu ya Italia yatandikwa mabao 20-0

As Pro Piacenza 1919 ya Serie C ya Italia ilifungwa mabao 20-0 na AC Cuneo 1905 baada ya kuwachezesha wachezaji saba pekee katika mechi yao iliyochezwa tarehe 17-02-2019. Piacenza inayoshikilia mkia katika jedwali ya Serie C Kundi A kwa

Arsene Wenger, Arsenal watamkosa Aaron Ramsey

Aliyekuwa kocha wa Arsenal Arsene Wenger amesisitiza kwamba klabu hiyo itakosa huduma wa raia huyo wa Wales. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 aligura Arsenal na kujiunga na miamba wa Italia Juventus baada ya kukuwa Emirates kwa zaidi